Home Ads


Rais Magufuli asema haya Twitter baada ya kugunduliwa gesi ya Helium

Rais Magufuli asema haya 

Twitter baada ya kugunduliwa

 gesi ya Helium

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli ametoa neno lake kupitia akaunti yake ya Twitter baada ya kugundulika kuwa Tanzania tumebarikiwa gesi ya Helium.
magufuli (1)
Hivi karibuni watafiti kutoka chuo kikuu cha Oxford na kile cha Durham kwa ushirikiano na wataalumu wa madini kutoka Norway waligundua uwepo wa takriban futi bilioni 54 za gesi hiyo ya barafu kama inavyofahamika.
Huu ndiyo ujumbe wa Magufuli:

a2e4786124815cde782b596fea3534ae
t-touch

No comments:

Powered by Blogger.