VITAMINI MUSIC /asema mambo ya kampuni yake ya Vitamin Music
Wasanii wengi wameonekana kupata nguvu ya kuanza kuwa na lebo za kuwasimamia wasanii wengine kama Ommy Dimpoz (PKP), Diamond (WCB), The Industry ya Nahreel na nyingine.
Akiongea na Times FM, Belle 9 alisema, “Tumeanza rasmi mwaka jana lakini kwa sasa nipo mimi pekee, tunapenda kufanya mambo yakiwa tayari ndiyo tuyaweke wazi.”
“Kwa sasa tupo kwenye mchakato wa kuiboresha kwanza na baada ya muda kidogo tutatangaza wasanii watakao kuwa chini ya Vitamin Music,” aliongeza
No comments: