Home Ads


Stay tune kwa Wanee mtoto wa mama dulla kesho saa kumi kuachia ngoma yake ya ubaya

               Na hayo ni baadhi ya maneno yanayo patikana kwenye ngoma hyo ya Ubaya
Najua mlango mlango hata uwekwe Gunia,huvunjika hutu wako kwa ilo penzi bandia ,Yaarabi nipe na subira nivishinde vita hivi nisije poteza dhamira walimwengu wanione chizi,Ajabu ya ngamia kucheka nundu ya ngombe Ugomvi mi sijapania mi swalla asiye na Pembe

No comments:

Powered by Blogger.